Kimoma

Kimoma (pia Kikulawi) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamoma kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1979 idadi ya wasemaji wa Kimoma imehesabiwa kuwa watu 5500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimoma iko katika kundi la Kicelebiki.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search